Mwanamintindo,mtangazaji, muigizaji na mjasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.
RSS Feed
Twitter
19:39
NGOSHA TV
0 comments:
Post a Comment