BAADA ya wiki iliyopita kuwaletea marais wa
Afrika waliofia madarakani. Yaani walikuwa wakiongoza nchi zao
wakakumbwa na mauti. Wiki hii tunawaletea marais waliouawa kwa kupigwa
risasi wakiwa madarakani.
Wednesday, 2 December 2015


Wageni na maafisa wa shirika la ndege la Etihad
wakishiriki katika hafla ya kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Shirika
hilo hapa nchini.
(Washiriki)
-
Mh. Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, Balozi Wa Umoja wa
falme za Kiarabu nchini Tanzania (Katikati)
-
Daniel Barranger, Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa
wa shirika la ndege la Etihad (wa nne kulia)
-
Dr. Shaaban Mwinjaka Katibu Mkuu, Wizara Ya Uchukuzi
(wa pili kulia)
-
Mh. Mbarouk Nassor Mbarouk, Balozi wa Tanzania Kwa
Umoja wa falme za Kiarabu (wa nne kushoto)
-
Mhandisi Thomas Haule Mkurugenzi Mamlaka ya Ndege-Tanzania
(wa kwanza kushoto)
-
Ahmed
Al Shehhi-Mkurugenzi mkuu wa shirika la Ndege la Etihad Tanzania (wa kwanza kulia
Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la
Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi
rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao mkuu
Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja
kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.
Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika
la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger (katikati) akifurahia kikundi cha ngoma
mara baada ya uzinduzi rasmi wa shirika hilo la ndege hapa nchini. Uzinduzi huo
ulifanyika katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
ambapo sasa wateja mbalimbali watakua na fursa ya kusafiri moja kwa moja kutoka
Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.(VICTOR)
Subscribe to:
Posts (Atom)