Wednesday, 10 December 2014

Mvua ikinyesha watu wanapata maji, wauza miamvuli wanapata pesa, hali ya hewa inakuwa nzuri, pia watu wanauza mahindi ya kuchoma lakini kukiwa na jua kali.......

Hakika Mahindi ya kuchoma yana wakati wake ila sio wakati wa Jua kali.

Wakati Mwema
Mathias Canal
Mufindi

0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -