Friday, 14 November 2014

Muziki wa dansi katika nchi za Afrika mashariki katika miaka ya hivi karibuni umeonekana kuzorota,wanamuziki wa zamani walikuwa na uwezo wa kupiga vyombo takribani vyote vya ala za muziki hali ni tofauti kwa sasa.
Tungo za zamani pia zilitokana na midundo asilia.
Leonard Mubali amefanya mahojiano na Hamza Kalala mwanamzuki mkongwe toka nchini Tanzania ambaye anauwezo wa kupiga vyombo vingi vya muziki na ambaye anauelezea muziki wa dansi wa sasa..CHANZO:BBC

0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -