Mwigizaji na muongozaji nguli wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen aka JB, ameonekana akiwa “On Set”aki-shoot filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la KALAMBA LOBO ambayo hakufafanua inatoka lini.
JB ambae pia ni mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Film Company ambayo ndio inategeneza filamu hiyo alitupia mtandaoni picha hizo hapo juu na kuandika.
“New Movie. Kalambati Lobo.On Set”
Tuendelee kuisubiri!!!!
0 comments:
Post a Comment