Kwasasa akiwa katika utengenezaji wa filamu mpya ambayo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, Mwigizaji Rose Ndauka aliandika mtandaaoni kwa kifupi kuwa jina lake jipya ni Bakita.
“My new name it's Bakita#new”
Swala liliowaacha mashabiki wengi kubaki na maswali mengi juu nini hasa kimemfanya awe na jina jipya.
Rose Ndauka hivi karibuni alionekana akiwa Location na mwigizaji na muongozaji wa filamu Richie, na kuahidi kazi mpya na kali inafanyika na hivyo mashabiki wakae mkao wa kula.
Pichani ni Rose Ndauka akiwa na Richie
0 comments:
Post a Comment