Friday, 19 December 2014

KAZI MPYA: Kutoka Kwa Wolper na Mzee Majuto

     
    Tukiwa unaelekea ukingoni mwa mwaka 2014 , Waigizaji Jackline Masawe “Wolper”na King  Majuto wameonekana wakiwa mzigoni kutengeneza kitu kipya. Mwanadada Wolper  aliidondosha picha hii na kuandika “New Movie with majuto dady”
    Ingawa bado jina la movie  halijawekwa hadharani, pamoja na lini movie hiyo itatoka, mashabiki wengi mitandaoni wameonyesha kutegemea kazi nzuri kutoka kwa hawa watu kwani ni waigizaji wenye uwezo na uzoefu mkusana.
    Je wewe wategemea movie ya namna gani kutoka kwa wakali hawa!!!

    0 comments:

    Post a Comment

    Design by Victor Simon -