Friday, 19 December 2014


Movies za Kibongo Kushuka Bei Mwakani
     
    Baadhi ya waigizaji na wadau wanaofanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment , leo asubuhi walitambulisha bei mpya na muonekano mpya wa DVD covers za filamu zao kwenye ukumbi wa habari maelelzo.
    Ambapo wameseama kuanzia mwezi wa pili mwakani CD moja iauzwa shilingi 1500 kwa bei ya rejareja badala ya shilingi 3000 iliyopo sasa.
    Mbali na hayo wasanii waliazimia kuendeleza harakati za kupambana na wezi wa kazi zao.
    Una maoni gani juu ya hili.

    0 comments:

    Post a Comment

    Design by Victor Simon -