Sunday, 14 December 2014


Lulu:Lazima Ujue Kutofautisha Kati ya Fashion na Style
  • Lulu:Lazima Ujue Kutofautisha Kati ya Fashion na Style 1
 
Mbali na mambo yote, hakuna anebisha kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni mrembo na mara zote hakosei katika mitoko yake hasa linapokuja swala maswala ya mitindo katika uvaaji na muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa hilo hakuna ubishi kuwa Lulu yuko vizuri.
Leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram Lulu ameamua kutoa elimu kidogo kuhusu kutofautisha kati ya Fashion na Style
Aliandika;
"Jua Kutofautisha Kati Ya FASHION Na STYLE... Fashion z wat we buy,n STYLE z how you wear it...!
#SundayVibe"
Kisha akatupia picha hizo….wewe unaonaje??

0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -