Leo ikiwa ni ile siku iliokkwa ikisubiliwa kwa hamu kujua nani ni MTANI JEMBE. Hizi ni baadhi ya tambo za waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa timu hizi mbili za Samba na Yanga ambazo leo jioni zitavaana ili kujua nani ni mtani jembe.kumbuka mwaka jana Simba ndio alieibuka mtani jembe..Leo Jeeee?!!!!
Soma maneno walioandika mitandaoni kuelekea mechi hii.
Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)
Riyama: Kelele za chura hazimzui ngombe kunywa maji mtoni yanga yasonga mbele.....!! nyuma mwiko #auuuu......?? mmekasirikaaaaaa kwani????????? watani wajadi pumguzeni presha mpira uwanjani damwaniiiiiiiiii
Wastara: Simba oyeeeeee leo yebo yebo kazi mnayo (picha akiwa najezi yake nyekundu)
mchopanga: Nan atakua mtani na nani ni jembee.. age kipa afe bekii....(akiwa na jezi yake njano pamojana JB)
Sabrina “cathy”: haka karangi kanjano kana mvuto hebu leo nirudi dar tukutane taifa pale hapana chezea kabisaleo hiyo taifa lazima kieleweke (picha akiwa amevaa njano)
Riyama: simba mnyama waporini mpira kaujua lini....???? mmekasirika kwani .....?????? watani wajadi leo ndio leo asemae kesho muongo asomwana aeleke jiwe aso jiwe je ??????? ......#siyajuivoooh
0 comments:
Post a Comment