Wednesday, 17 December 2014

Nagris:Mazoezi Hunifanya Nizidi Kuwa Mrembo
Miss Tanzania namba tatu (2003/04) ambae kwasasa ni mwajiliwa na vile vile ni muigizaji, Nagris Mohamed  amesema siri ya yeye kuzidi kuonekana mrembo na mwenye mvuto tofauti na wadada wengi wenye watoto (kama ambavyo yeye ana mtoto mmoja)  na umri sawa na wake.
Nagris amesema mazoezi ndio kitu pekee Kinachomfanya aonekane bomba, akiongea kwa utani, Nagris alisema;
"Gym mpaka lundenga akiniona anisahau aniambie dada samahani shiriki mis 2015 tutaenda kukuombea kwa wazazi wako"
Hapo juu ni baadi ya picha zake akiwa GYM anafanya mazoezi.
Haya shime shime jamani mazoezi ni kitu muhimu kwa afya zetu.
16.12.2014 -  Tags:  NAGRIS 

0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -