Sunday, 14 December 2014


Lulu:Happy Akishinda Miss World nitaitwa Luppy
     
    Muigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “Lulu” amefunguka kwa kuandika mtandaoni kuwa atabadilisha jina lake na kuitwa Luppy iwapo Happiness Watimanywa ambae ni Miss Tanzania mwaka 2013 anaeshiriki shindano la Miss World 2014 ataibuka mshindi wa taji hilo.Hili amelisema mapema kabisa ili yasijemkamkuta kama yaliyomkuta baada ya kusemekana kuwa alitaka kujiweka kwa mshindi wa BBA 2014, Idris baada ya kuibuka mshindi.

    0 comments:

    Post a Comment

    Design by Victor Simon -