Thursday, 18 December 2014

Omotola2
Omotola Jalade Ekeinde a.k.a Omosexy kama ambavyo amekuwa akifahamika hivi karibuni, kumbe ameandaa mipango ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 20 aliyoitumia akiwa ndani ya Nollywood kwa namna yake.
Kuweza kukaa kwenye soko hilo la filamu Nigeria kwa kipindi cha miaka ishirini tayari ni mafanikio makubwa kwake, mpango alionao ni kuzunguka nchi kadhaa ambapo katika video aliyoiweka Youtube ameshukuru mashabiki wake wote Duniani ambao wamekuwa wakisupport kazi zake.
Hajasema bado miji ambayo atatembelea.
Nimekuwekea hapa kipande hicho cha Video  unaweza kutazama.

0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -