Thursday, 11 December 2014

 Queen Latifa  Mwanamuziki Wa Siku Nyingi Katika Miondoko Ya Kufokafoka (rapper),Muigizaji Na Muendeshaji Wa Vipindi Mbalimbali Vya Talk Show.



 Mwanamuziki Huyo Ameliambia jarida la closer anatami sana kuwa mama kwa sasa licha ya kwamba umri wake umekuwa mkubwa na hatojali mtoto yeyote atakaejaaliwa kumpata kwa upande wake atafurahi Ikiwa Mtoto Wa kike au wa kiume.

Kumekuwa na uvumi   Queen Latifa ana mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenize  Anaejulika Kwa Jina La Ebon Nichols ambae anaonekana nae sehemu Mbalimbali ona baadhi ya picha alipokuwa Oslo Nchini Norway Katika Tuzo Za Nobel Peace Prize.


0 comments:

Post a Comment

Design by Victor Simon -