
Muongozaji wa Tamthilia ya Siri ya Mtungi, Jordan Riber akizungumza katika uzinduzi wa tamthilia hiyo Sehemu ya pili kwenye ukumbi wa Cinemax Century jijini Dar es salaam.

MC wa shughuli ya uzinduzi wa Siri ya Mtungi 2, Ambi Lusekelo akimtambulisha muigizaji nyota wa tamthilia hiyo, Cheche

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo Katikati na wadau wa Filamu Tanzania waliohudhuria katika uzinduzi huo wakifuatikia hotuba bali mbali zilizotolewa wakati wa uzinduzi wa Tamthilia ya Siri ya Mtungi awamu ya pili.
0 comments:
Post a Comment