Sunday, 7 December 2014

TBT: Nagris Kabla ya U-Miss na Ndoto za Kuwa “Bongo Movie Star”

TBT: Nagris Kabla ya U-Miss na Ndoto za Kuwa “Bongo Movie Star”

TBT: Nagris Kabla ya U-Miss na Ndoto za Kuwa “Bongo Movie Star”
     
    Muigizaji wa filamu, Nagris Mohammed  aliiweka kwenye ukurasa wake kwenye mtandao  wa  INSTAGRAM, kama TBT,  ikimuonyesha kipindi akiwa bado binti akiwa pamoja na marafiki zake.
     TBT (Throw Back Thursday) ni neno maarufu kwenye mtandao wa Instagram, ambapo watu  huwekwa picha siku  Alhamis nakuweka alama ya #TBT. Watu huweka picha zao za zamani kama kipindi wapo shule, na wengine wakati wanatambaa au matukio ya zamani sana. picha hizi mara nyingi hufurahisha wengi sio wanaziweka tu bali hadi watu waozitazama, kutokana na ile hali kuwa watu tunakuwa na tunabadilika tutokana na muda.
    Leo sasa icheki  TBT hapo juu picha ya muigizaji huyu ambae aliwahi pia kushiriki kwenye mashinado ya kumtafuta mrembo wa Tanzania maarufu kama Miss Tanzania, Kipindi alipokuwa bado msichana sana, kabla hata ya kushiriki Miss Tanzania na sidhani kama alikuwa anandoto zakuja kuwa staa hapa bongo na hasa kuja kuwa muigizaji wa filamu.
    Dada angu @thembonishow apo vipi watu wakinichukulia poa? Haki.... nilipoona nilicheka nimekukumbuka crop top long time
    Hayo ndio maneno Nagris aliyoyaandika kwenye picha hiyo.

    0 comments:

    Post a Comment

    Design by Victor Simon -