
Msanii mpya kwenye gemu ya Bongo Flava anayeitwa Abui Simon au la kimuziki ‘KISS’. Wimbo huo wewe ndio utakuwa wa kwanza kuurusha hewani kwenye blogs kabla ya kuueleka kwenye vituo vya redio siku ya Jumatatu.
Jina la wimbo ni ACHA MARINGO.
Ameutengeneza kwenye studio za SAY RECORDS, Kinondoni, Dar. Amewashirikisha Richie Mavoko na Makomando.
0 comments:
Post a Comment